Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Vipoo... kwa mfano wewe ulivyovaa uhusika wa hiyo avatar

avatar na reality ya mtu ni tofauti i love the lady ndio sababu ya kueka hivyo but uhusika wa mtu hauangaliui sura bali tabia na mienendo yake what if nikabehave kindly kumbe kichaa wa kutupwa??

tabia ya mtu haiwezi kubadilika kwa kutaka iwe ya namna fulani wakat dhahili mtu yuko kivingine unless ni kuiacha hivyo ilivyo
wengi humu tunajua the way tulivyo achilia mbali comment zinazoonekana za namna nyingne lakini ukweli wa jinsi mtu alivyo uko kwa mtu mwenyew....

mfano: katika whatsApp naweza weka status fulani, mtu mwingine akaitafsir tofauti na vile mimi ninavyoamini hapo yanakuwa mawazo yake na si uhalisia wa kile ninachoamin
 
Hebu niadd na mimi kwenye hiyo ninih yenu, sijui mnaiita WhatsApp ili niwe nachungulia last seen yako. Namba yangu ni
1-800-CALL-YEGO. :A S 11:

Wewe sikuadd........kwa nini sijui......ila tu sitaki.........
 
Hebu kabla hujabadili niambie kabisa utajiita nani.......ili nikujue........
Nitabadili ID, mwandiko hautabadilika. Kwa hiyo utanitambua tu.....Usiwahonge hao ma-mode ili kuziunganisha ID zangu, tafadhali!.
 

So nimekusaidia kuchiti?... nooo
 
Anakwepa maswali ya ajabu huyo mambo ya kuulizana mbona last seen sa saba ulikua unachat na nani? Kumbe wewe ulienda tuuu kujisaidia
 
Sion hata faida ake ila last seen asee nayo inavunja penz tumeagana saa mbili usiku las seen inasema saa saba usiku utaelezeamo.vizur nikuelewe ulikua unachat na nan muda huo naukificha unamfichia nan inmaana.unaficha mikucha yako.usijulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…