Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
hahaaaaa, sina kifua ila nimejivika tu mabomu dear
Hahahahaha haya mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaa, sina kifua ila nimejivika tu mabomu dear
Vipoo... kwa mfano wewe ulivyovaa uhusika wa hiyo avatar
Hebu niadd na mimi kwenye hiyo ninih yenu, sijui mnaiita WhatsApp ili niwe nachungulia last seen yako. Namba yangu ni
1-800-CALL-YEGO. :A S 11:
kama unajiamini na mambo yako,usiri usiri wa nn .
Du...Haya bana. Hapa ishakuwa zali tena, yaani umenipiga chini in front of kadamnasi ya JF!!.Wewe sikuadd........kwa nini sijui......ila tu sitaki.........
Du...Haya bana. Hapa ishakuwa zali tena, yaani umenipiga chini in front of kadamnasi ya JF!!.
Itabidi nibadili ID hakyanani!. Ishakuwa shiiiida!.He he.......poyeeeee........
Itabidi nibadili ID hakyanani!. Ishakuwa shiiiida!.
Nitabadili ID, mwandiko hautabadilika. Kwa hiyo utanitambua tu.....Usiwahonge hao ma-mode ili kuziunganisha ID zangu, tafadhali!.Hebu kabla hujabadili niambie kabisa utajiita nani.......ili nikujue........
You must be a criminal
halafu wewe last seen yako umeificha wapi? naitafta siion.
teh, teh, teh, umenisaidia ndugu na mimi nilikuwa sijui, maana jana tu ugomvi, akaniambia upo online halfu ujibu, nakupigia hupokei utasema umelala wakati online upo, basi nimenuniwa, hayo majibu ni short kama anachagua majibu ya NDIYO au HAPANA na kibaridi hiki sijui ntakimudu vipi.
Inakukamatisha au?