Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Sion hata faida ake ila last seen asee nayo inavunja penz tumeagana saa mbili usiku las seen inasema saa saba usiku utaelezeamo.vizur nikuelewe ulikua unachat na nan muda huo naukificha unamfichia nan inmaana.unaficha mikucha yako.usijulikane

Muda mwingne unakuta hauchat umelala ukasahau whatsApp icon on meaning huja hama katika chat usiku mzima utakua online
Au nika amka kwenda toi nika angalia text zilizoingia last seen itaonekana 2:45am nasikua nnachat
Last seen haisaidii kuyaona wala kukata hayo makucha
 
Ndo maana saa zingne hata unamjibu mtu kwa kutumia sms ya kawaida ukishaaga whatsapp
 
mie naficha last seen ili nisione ya mwenzangu,kuepusha kuuliza maswali kama,"mbona meseji ya saa 7 umenijibu saa 12"

Yani thread ya tangu wiki iliyopitaa ndo unanijibu leo??...lol
 
Thanks to whatsapp+...last seen sio tatizo tena
 
ukificha watu wataongea tu na hata ukionesha bado watasema pia, hivyo hiyo ni dalili ya kukosa uhuru kwasababu ya watu wakat kifaa ni chako. Kama pesa uliitoa mwenyewe kwann usiwe uhuru kutumia utakavyo? Midomo ya watu ni nyumba ya maneno tu. Just be free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…