Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
Ila ukiniona online haimaanishi ni lazima kujibu sms zako.
Exactly!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ukiniona online haimaanishi ni lazima kujibu sms zako.
Ni yako inaonyesha mda wa mwisho ulivyokuwa unachart
Sion hata faida ake ila last seen asee nayo inavunja penz tumeagana saa mbili usiku las seen inasema saa saba usiku utaelezeamo.vizur nikuelewe ulikua unachat na nan muda huo naukificha unamfichia nan inmaana.unaficha mikucha yako.usijulikane
Sasa kwa nini wewe ujifiche huku ukichungulia wenzio?
Hii Id kama naifananisha, tushawai kuchat ishu za research bab?