Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Mtu akiona uko online anahamasika kukuandikia labda akuulize kitu. But ukiniaga unalala au unaingia kwenye mkutano baadae nikataka nujue kama ushaamka au ushatoka kwenye mkutano then last seen info inaweza kunipa clue...

Naona umeshindwa kunipa faida wala umuhimu wake mkuu........

je phone call ila last seen?

je normal text msg ina last seen?

je inatupunguzia au kunakuwa na kasoro gani kwa phone call au normal text msg kukosa last seen?

kwangu mimi last seen haina cha zaidi ila kufuatiliana tukusikokuwa na maana.

sioni umuhimu wa mimi kujua au mtu mwingine kujua ni saa ngapi ilikuwa mara ya mwisho mtu kuwa wassap........ ya kazi gani? au ndiyo umbea au kutafuta cha kuongea?

nasisitiza last seen ni choko choko tu zisizokuwa na tija ,,,,,,,,,,,, mimi nimeiondoa ni muda mrefu sasa na mawasiliano yangu hayajatetereka.
 

Sawa mkuu...
Mi siogopi kufuatwa fuatwa... wala chokochoko...
 
Mimi sioni sababu ya kuficha kwanin nijifiche na simu ni ya kwangu vocha ya kwangu, ukweli utakuweka huru.

Mfano una ndugu kama 10 active whatsapp halafu unaonekana online mda wote je utaweza kuwajibu?
 
Yaani kuwa kwenye mtandao kwako unakufanya "faragha"?

Unapokuwa mtandaoni si lazima ufanye chatting na kila anayekuona na kuficha last seen kwa namna nyingine inaonesha you're the only person in control na hapo ndio faragha inapoanzia...
 
Unapokuwa mtandaoni si lazima ufanye chatting na kila anayekuona na kuficha last seen kwa namna nyingine inaonesha you're the only person in control na hapo ndio faragha inapoanzia...

Ok...
But kama huoni relevance ya kujib text ya mtu si unaacha tu... Iwe anaona au haoni uko online?
 
Mimi nikiulizwa mbona kimya?nasema nilikuwa nachati na fulani,isitoshe hata ukiondoa last seen ukiwa online unaonekana ni hiyo last seen tu ndio haionekani.
Mfano una ndugu kama 10 active whatsapp halafu unaonekana online mda wote je utaweza kuwajibu?
 

hahahahaha! besti umeongea kwa hisia sana. shari robo robo za kila siku. loh!
 
Inapunguza stress na migogoro isiyo ya lazima,we unaitaka ili iweje? Au ndo wale wa kufatilia maisha ya watu muanze maneno ya shombo oooh watu wanashinda mtandaoni?
 
Bestiiiii!
 
Tatizo ni kwamba watu wengi sio waaminifu, na kutokujua mfumo wa maisha anoishi mwenzio ni problem. Simu inapasiword kibao,last seen /online umeficha, yaani mda mwingine unajidanganya hata wewe mwenyewe. Be open u Will be free and trust urself.
 
Hatupendi tu mambo yetu yalikane. Mimi sio tu nimeficha last seen bali nimeficha hata Status na Profile Picture ambapo kama sijasevu namba yako hivyo vitu huvioni.

You must be a criminal
 
Sio wanaficha last seen... mi nadhani wanajificha wakiwa online.
Unajificha ili usionekane!!!

ukiwa online lazima itambulike...mi nadhani sio kujificha ila kupunguziana presure za kijinga, mfano simu nyingine inaonyesha last seen hata kwa kupokea tu msg bila hata muhusika kuiangalia na kujibu. Imagine uko in distance relationship.

Au umesafiri unaangalia status ya mwenzi wako unakuta last seen usiku wa manane na hukuwa umechat nae wewe...inakuwaje kichwani mwako?

Huko mbali JF penyewe wanachunguliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…