asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Mtu akiona uko online anahamasika kukuandikia labda akuulize kitu. But ukiniaga unalala au unaingia kwenye mkutano baadae nikataka nujue kama ushaamka au ushatoka kwenye mkutano then last seen info inaweza kunipa clue...
Naona umeshindwa kunipa faida wala umuhimu wake mkuu........
je phone call ila last seen?
je normal text msg ina last seen?
je inatupunguzia au kunakuwa na kasoro gani kwa phone call au normal text msg kukosa last seen?
kwangu mimi last seen haina cha zaidi ila kufuatiliana tukusikokuwa na maana.
sioni umuhimu wa mimi kujua au mtu mwingine kujua ni saa ngapi ilikuwa mara ya mwisho mtu kuwa wassap........ ya kazi gani? au ndiyo umbea au kutafuta cha kuongea?
nasisitiza last seen ni choko choko tu zisizokuwa na tija ,,,,,,,,,,,, mimi nimeiondoa ni muda mrefu sasa na mawasiliano yangu hayajatetereka.
