Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Sizungumzii we we bhana,isije umetafsiri vibaya my comment,halafu nimekumiss sana ngoja nije huko.

MWe!!!!!!
We nawe unafikiri mie niko huko bhana....
Sema handsome wangu, uko poa?
 
Tatizo ni kwamba watu wengi sio waaminifu, na kutokujua mfumo wa maisha anoishi mwenzio ni problem. Simu inapasiword kibao,last seen /online umeficha, yaani mda mwingine unajidanganya hata wewe mwenyewe. Be open u Will be free and trust urself.

Toa boliti jichoni mwako ndio useme kibanzi cha mwenzio... Unaangaliwa tu
 
Mkuu kama mwenzi wako alikuwa last seen usiku wa manane ina maana alifanya mawasiliano au alisoma msg. Kuna ubaya gani?
 
Sasa mkuu wewe ulitaka kuficha yako huku ukichungilia za wenzio...
We mbayaa

Kwenye WHATSAPP PLUS kuna option inayokufanya uweze kuhide last seen yako na online status yako lakn wewe ukawa unaona status za wenzako......
 
Ni kuepusha shari ya kutokujibu au kuona alijuwa anachati na nani wakati mm hujaniuliza lolote tangu jana mchana wakati mm ni bby wako
 
Kwenye WHATSAPP PLUS kuna option inayokufanya uweze kuhide last seen yako na online status yako lakn wewe ukawa unaona status za wenzako......

Sasa kwa nini wewe ujifiche huku ukichungulia wenzio?
 
hahahahaha! besti umeongea kwa hisia sana. shari robo robo za kila siku. loh!

ha ha ha ha ha.........

bestiiiiiiiiiiiii , watu wana misuse sana hiyo last seen ..........

ni kero kwa kwenda mbele.
siitaki , na wala sitaki kujua wewe saa ngapi umetia maguu wassap.
 
ha ha ha ha ha.........

bestiiiiiiiiiiiii , watu wana misuse sana hiyo last seen ..........

ni kero kwa kwenda mbele.
siitaki , na wala sitaki kujua wewe saa ngapi umetia maguu wassap.

hahaha! kweli besti ila anaekutaftia choko choko hashindwi kukuvizia aone kama upo online maana last seen utaficha ila ukiwa online unaonekana.
 
Mkuu kama mwenzi wako alikuwa last seen usiku wa manane ina maana alifanya mawasiliano au alisoma msg. Kuna ubaya gani?

Sioni ubaya ila ina damage kidogo kidogo upendo...si unajua wivu suna!
 
hahaha! kweli besti ila anaekutaftia choko choko hashindwi kukuvizia aone kama upo online maana last seen utaficha ila ukiwa online unaonekana.

Nimepata jibu...

Kumbe watu wengi wanajificha wasijulikane mda gani wapo online kwa kuogopa kuulizwa na wenzi wao.
But kama mtu unakuwa online kwa "nia njema" ukiulizwa si unajibu tu...
 
Nimepata jibu...

Kumbe watu wengi wanajificha wasijulikane mda gani wapo online kwa kuogopa kuulizwa na wenzi wao.
But kama mtu unakuwa online kwa "nia njema" ukiulizwa si unajibu tu...

wengi wanaficha sabb ya wapenzi wao. umemchunia bby halafu anashangaa last seen inabadilika kila baada ya dkk tano. lazma pachimbike. unashaaga unalala mara last seen sa nane usiku! yaani bor kuficha ficha tu asione.
 
Hii inanifanya niamini wanaoficha last seen status ni cheaters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…