Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Sizungumzii we we bhana,isije umetafsiri vibaya my comment,halafu nimekumiss sana ngoja nije huko.
MWe!!!!!!
We nawe unafikiri mie niko huko bhana....
Sema handsome wangu, uko poa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizungumzii we we bhana,isije umetafsiri vibaya my comment,halafu nimekumiss sana ngoja nije huko.
hahahahaha! besti umeongea kwa hisia sana. shari robo robo za kila siku. loh!
Tatizo ni kwamba watu wengi sio waaminifu, na kutokujua mfumo wa maisha anoishi mwenzio ni problem. Simu inapasiword kibao,last seen /online umeficha, yaani mda mwingine unajidanganya hata wewe mwenyewe. Be open u Will be free and trust urself.
ukiwa online lazima itambulike...mi nadhani sio kujificha ila kupunguziana presure za kijinga, mfano simu nyingine inaonyesha last seen hata kwa kupokea tu msg bila hata muhusika kuiangalia na kujibu. Imagine uko in distance relationship.
Au umesafiri unaangalia status ya mwenzi wako unakuta last seen usiku wa manane na hukuwa umechat nae wewe...inakuwaje kichwani mwako?
Huko mbali JF penyewe wanachunguliana.
Sasa mkuu wewe ulitaka kuficha yako huku ukichungilia za wenzio...
We mbayaa
hahahahaha! besti umeongea kwa hisia sana. shari robo robo za kila siku. loh!
Kama last seen ya Saa 7 usiku itaambatana na maswali Bora isionekane tu
Bestiiiii!
Hivi na kule twitter tunapokutana siku zote....na penyewe kuna last seen??
ha ha ha ha ha.........
bestiiiiiiiiiiiii , watu wana misuse sana hiyo last seen ..........
ni kero kwa kwenda mbele.
siitaki , na wala sitaki kujua wewe saa ngapi umetia maguu wassap.
Mkuu kama mwenzi wako alikuwa last seen usiku wa manane ina maana alifanya mawasiliano au alisoma msg. Kuna ubaya gani?
hahaha! kweli besti ila anaekutaftia choko choko hashindwi kukuvizia aone kama upo online maana last seen utaficha ila ukiwa online unaonekana.
mie nimeshasahau kabisa ishu za sms.
Basi mimi ndo mtindo mmoja.
Nimepata jibu...
Kumbe watu wengi wanajificha wasijulikane mda gani wapo online kwa kuogopa kuulizwa na wenzi wao.
But kama mtu unakuwa online kwa "nia njema" ukiulizwa si unajibu tu...
wengi wanaficha sabb ya wapenzi wao. umemchunia bby halafu anashangaa last seen inabadilika kila baada ya dkk tano. lazma pachimbike. unashaaga unalala mara last seen sa nane usiku! yaani bor kuficha ficha tu asione.