Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Hatupendi tu mambo yetu yalikane. Mimi sio tu nimeficha last seen bali nimeficha hata Status na Profile Picture ambapo kama sijasevu namba yako hivyo vitu huvioni.
Hii inanifanya niamini wanaoficha last seen status ni cheaters
Hii inanifanya niamini wanaoficha last seen status ni cheaters
Umeona eee na wengine hawajiamini tu.
Hii inanifanya niamini wanaoficha last seen status ni cheaters
Anaficha mambo yake yenye utata...
Itabidi umfundishe kuficha na vya jf...lol
hahaha! kweli besti ila anaekutaftia choko choko hashindwi kukuvizia aone kama upo online maana last seen utaficha ila ukiwa online unaonekana.
Toa boliti jichoni mwako ndio useme kibanzi cha mwenzio... Unaangaliwa tu
Common sense would dictate that to be the case.
Kwa sababu, kama kweli huna cha kuficha na hufanyi lolote baya kwa nini ufiche fiche hiyo 'last seen'?
Nimepata jibu...
Kumbe watu wengi wanajificha wasijulikane mda gani wapo online kwa kuogopa kuulizwa na wenzi wao.
But kama mtu unakuwa online kwa "nia njema" ukiulizwa si unajibu tu...
kuepusha maswali ya mara kwa mara na lawama zisizonatija.
hiyo ni mojawapo ya misuse ya last seen......
mahusiano yanapogeuka kila siku ya kuulizana maswali na kujibu maswali , hapo uhuru na furaha hukosekana.
Msaada jinsi ya kuficha last seen