Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Kwa mfano hupo huru kuchangia point fulani kisa tu "fulani" asikufikirie namna gani vipi...
Wakati huyo fulani mnajuana id kwa id tu...

kumbe hivi vitu vipo sana ee asa mtu unaanzaje kuvaa uhusika wa mtu mwingine
 
Kwenye muktadha wa uhusiano wa kimapenzi umuhimu wake ni kujali. Mtu anayekupenda lazima atataka ajue kinachoendelea.

ok!hili jibu halina uzito unaostahili kunipatia umuhimu na faida za last seen......

je kabla ya matumizi ya wassap na last seen alikuwa anajua vipi kila kinachoendelea kwa upande wangu?

je kuiona tu last seen itatosha kujua kinachoendelea kwangu?

je unakubaliana na mimi msg ikiingia hata kama upo kwenye kikao kuisoma ni rahisi sana kuliko kuijibu?

kama jibu ni ndiyo kwamfano mwenzi wako kakutumia meseji ya "i miss you" halafu hujamjibu kwasababu upo kwenye kikao japo umeiona........ akaona umeingia kwenye last seen , halafu baada ya nusu saa Mushi anakutumia msg kuna bidhaa mpyaa dukani kwakwe unasoma msg lakini hujibu , ila mwenzi wako anaona last seen ....... halafu mfanyakazi mwenzako anakutumia document baada ya lisaa unasoma , mwenzi wako anapata last seen zote tatu halafu kwake majibu patupu.........

unatoka kwenye kikao unawasiliana naye utamjibu nilikuwa busy na kikao?

halafu anakuuliza mbona alikuona last seen mara 3 ndani ya muda wa masaa mawili?

utamjibu hukuona umuhimu wa kumjibu kwasababu ulikuwa ndani ya kikao?

Huku ni kujiwekea mazingira ya kutokufanya ya maana kwa uhuru.

last seen to me ni kama utumwa usiokuwa na maana...... kwanza inaweza hata kukufanya wewe uanze kufuatilia wengine.
 
In that case then spouses have no right to privacy between themselves?

What right to privacy if you are married?

What is it that you don't want your spouse to know and why?

You get naked with each other (is there anything more private than one's privates?), you share the bed with each other, you know every square inch of each other's glorious naked bodies, you share precious bodily fluids with each other, you share emotions with each other, you share each other's innermost feelings and et cetera, et cetera.

.....and yet you (not you personally) still want to hold some things from your spouse?

Unless you have something to hide I don't see any other reason why you would go to such lengths as to hide mundane issues such as 'last seen' statuses on Whatsap, etc.
 
Mambo mengine ni madogo sana na huwa mnayakuza tu pasipo hata na sababu ya msingi!

Ya nini mtu utokwe povu kisa mwenzako kahoji status ya Whatsap? Na kama huna la kuficha povu la nini?

Kama mtu uko mkweli sidhani hata kidogo kama utalifanya hili jambo liwe kubwa kihivyo.

Jambo dogo tu ukiulizwa unakuwa mbogo....wakati mwingine mnawapa wenza wenu mawazo yasiyo kutokana na reactions zenu.
 
Unajua nafsi zina tafsiri pana sana. Kuna watu hapa jf wameshajengea id zao "nafsi" fulani... japokuwa najua hakuna mtu anamjua nje ya jf... lakini humu humu ana ka-dunia kake kenye hadi familia...
So anaweza kukosa uhuru...

Well, inaweza pia kuwa ni haki yake ya privacy. Privacy should not be equated to secret. Pia privacy is not only about hiding bad things. Lakini kama wewe ni confident in yourself, then one may ask kwa nini ufiche mara ya mwisho ulipokuwa unatumia simu yako.

Assumption kubwa ni kuwa wanaoficha last seen info wanafanya hivyo kwa sababu hawapendi wapenzi wao kujua muda ambao walikuwa online, wengine wanafanya hivyo kwa ufahari (egoism), n.k.

Hii inaweza kuwa kweli kwa baadhi ya watu lakini mtu anaweza kusema kuwa kama hoja ya kufanya hivyo ni privacy, then ni bora kabisa kutoweka Whatsup kwenye simu yako au kutafuta simu nyingine kwa ajili ya mambo yako ya ki-private.

Kitu ambacho huwa napinga ni kuonyesha your current location kwenye social networks na kwenye mobile applications. Kwa usalama wako na mali zako sidhani kama hii ni safe maana waweza kujikuta unamwambia mwizi kuwa sipo home nenda kaibe.
 
What right to privacy if you are married?

What is it that you don't want your spouse to know and why?

You get naked with each other (is there anything more private than one's privates?), you share the bed with each other, you know every square inch of each other's glorious naked bodies, you share precious bodily fluids with each other, you share emotions with each other, you share each other's innermost feelings and et cetera, et cetera.

.....and yet you (not you personally) still want to hold some things from your spouse?

Unless you have something to hide I don't see any other reason why you would go to such lengths as to hide mundane issues such as 'last seen' statuses on Whatsap, etc.

I was not suggesting that spouses have a right to privacy. From a legal point of view, there is no right to privacy between spouses.

And, "If the right of privacy means anything, it is the right of the individual, married or single, to be free from unwarranted governmental intrusion."

Regarding mambo mengine ya ki-social and privacy between spouses, it is non of my business.
 
Got you.

Btw, that Cornell Law School Legal Information Institute website is my go-to portal for all things legal.

Glad to see others out there like you utilizing it.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nenda setting then profile then privacy

teh, teh, teh, umenisaidia ndugu na mimi nilikuwa sijui, maana jana tu ugomvi, akaniambia upo online halfu ujibu, nakupigia hupokei utasema umelala wakati online upo, basi nimenuniwa, hayo majibu ni short kama anachagua majibu ya NDIYO au HAPANA na kibaridi hiki sijui ntakimudu vipi.
 
Mkuu sina kitufe cha like
Mambo mengine ni madogo sana na huwa mnayakuza tu pasipo hata na sababu ya msingi!

Ya nini mtu utokwe povu kisa mwenzako kahoji status ya Whatsap? Na kama huna la kuficha povu la nini?

Kama mtu uko mkweli sidhani hata kidogo kama utalifanya hili jambo liwe kubwa kihivyo.

Jambo dogo tu ukiulizwa unakuwa mbogo....wakati mwingine mnawapa wenza wenu mawazo yasiyo kutokana na reactions zenu.
 
Ni dalili ya kukosa uhuru?

Kabisa nikukosa uhuru na kutojiamini hasa ukiwa si muaminifu( kimapenzi zaidi).Km ni muwazi na muaminifu why ufiche last seen?

Mi huwa sifichi wala nini na mtu akiniuliza mbona hujajibu msg yng namwambia ni kweli nilikuwa online but si kwa ajili ya kujibu ujumbe wako,short an' clear.
 
anayejua anifundishe jaman

Ingia kwenye WhatsApp yako.

Nenda kwenye "Setting".

Utaona option mbalimbali, ingia kwenye option ya "Account".

Halafu ingia kwenye "Privacy".

Humo ndo utaamua kama unataka kuficha "Last Seen" , au "Profile pics" au "Status words".

Kazi kwako sass!
 
Kazi kwako sasa!
 
yani nikiingia kwenye account ya fulani, kitu cha kwanza ni last seen...
 
Mi napendekeza iwe hivi......
Hebu niadd na mimi kwenye hiyo ninih yenu, sijui mnaiita WhatsApp ili niwe nachungulia last seen yako. Namba yangu ni
1-800-CALL-YEGO. :A S 11:
 
Back
Top Bottom