Mtu kuoa/kuolewa akabadilisha namba ya simu imekaaje?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
mimi najiuliza sana hili, sipati jibu. Hivi inaleta picha gani! Hem imagine inakutokea wewe....
 
Mi najiamini a'm never change anythin by the way !
 
Binafs sibadilishi kwakua najiamini ila ukiona kabadilisha jua kicheche
 
Siamin na wala sidhan kama inasaidia au kubadili lolote maana hata uwakwepao wataipata.
 
Mie ninadhani kuwa huyo anataka kuanza ukurasa mpya kwa maana halisi kama sio kutaka kuflush out vimeo vyake ili asimkwaze mwenzi wake pia
 
Kubadili haimaanishi chochote,labda umridhishe aliyekwambia ubadili..kikubwa ni busara na heshima katika matumiz ya simu
 
Labda kue na sababu toshelevu za kubadili number,vinginevo ni kazi bure.
 
Kubadili haimaanishi chochote,labda umridhishe aliyekwambia ubadili..kikubwa ni busara na heshima katika matumiz ya simu

I think hili ndio jibu sahihi,
Heshima na busara ndio kitu cha msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…