Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
 
Ni sawa pia huyo ni mtoto bado sana kuwa na harufu ya jasho.
 
Huyo mtoto wa miaka nane kuna mjuba wa kiislam huko Ulaya alipita nae, imagine mtoto hana hata uwezo wa kutoa harufu ya kikwapa lkn kuna gaidi amepita nae hadi kumsababishia umauti 😔
Huyo mumeo Muislamu aliyekupiga talaka,itabidi tu ukamuomba msamaha ili akurudie,naona hasira za talaka umezihamishia mpaka kwenye dini ya mtalaka wako,hii haiwezi kukusaidia kitu,

Ungejituliza tu kwanza,huenda ungepata posa nyingine.
 
HII N UGONJWA NILIWAHI KUFUNDSHW ZAMAN NAMNA YAKUTIB HII NGOJA NIULIZ KW WAZEE WANIKUMBUSHE ILA NAKUMBUKA KUNA SEHEMU YA MGOMBA HUTUMIKA KUTIBU
 
Mwache mtoto akue huyo,
Miaka 8 kama anaoga na kujisafisha kinywa vzur huwez sikia harufu hizo labda awe na hormones kali sana au aina ya vyakula anavyokula au awe mchafu mchafu sana. Msikilizie .
 
Back
Top Bottom