Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

duh!uko siriaz sana bwana mdogo,usichukulie ishu siriaz kiivo hapa tuna chit-chat tu.

Inaelekea wanao hawagusi ata rimonti baba alivyo mkax na complicator.
 
Myeyusho kwa kwanza kwa muda huu ni ADI
Kanikimbiza mita mia saba, na sredi yake ya kudai madeni
Afu kumbe hewa

Sikubali, she will pay for this!

hunishindi mimi, her days are numbered
 
Yaani nimecheck nae nimekuta deni lishalipwa, sasa sijajua nani kanilipia najaribu ku trace hapa..
Hahahaaa atakuwa Mpatanishi maana si ujaijua ile kampeni yake? hahahahaaaaaa mwambie hudanganyikiiii
 
duh!uko siriaz sana bwana mdogo,usichukulie ishu siriaz kiivo hapa tuna chit-chat tu.

Inaelekea wanao hawagusi ata rimonti baba alivyo mkax na complicator.
Teh teh
 
Black Bat topic zako tu hua wanifurahisha.... alafu nimesahau ile a.k.a yako.....
naomba nikumbushe ndio jina nataka pendekeza....
 
Black Bat topic zako tu hua wanifurahisha.... alafu nimesahau ile a.k.a yako.....
naomba nikumbushe ndio jina nataka pendekeza....

heeeey! Super myeyushaji, habari za kupotea bhana...
 
Hahahaaa atakuwa Mpatanishi maana si ujaijua ile kampeni yake? hahahahaaaaaa mwambie hudanganyikiiii

Hahahahah mpatanishi hata hajanlipia basi, kamlipia husny. Can u imagine!
 
Hahahahah mpatanishi hata hajanlipia basi, kamlipia husny. Can u imagine!
Teh halafu akapotea nae hadi sasa hawajarudi na nahisi ndo hawarudi tena hadi kesho...Mh Mapatanishi mtata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…