Mtu mjinga huyu sijapata kuona tangu nizaliwe

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.

Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
 
Ualbino wake hapa unaingiaje?
 
Kwa wale mliofuatilia press ya albino, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda c mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hv mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Ungekua na akili usinge husisha ulemavu wake na wewe unaingia kwenye hilo kundi la wajinga
 
Laiti ungemtaja kwa jina lingine lolote lakini si linalowakilisha ulemavu wake..! Kumbuka hujafa hujaumbika..!
 
Kwa wale mliofuatilia press ya albino, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda c mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hv mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Yanga wenye akili timamu tangu awali walimkataa huyo
 
Zigo La Misumari......! Barbra alilistukia mapema Sasa Utopolo wanahangaika nalo Linaenda Kuwasababishia Maandamano.....!
Kwa hapa barbra namsifu sana
Maana kila manara akiharibu walimuacha apambane mwenye bila kuihusisha na klabu yetu ya simba
 
!
8074153ca0775012534f7618e7e96595.jpg
 
Kwa wale mliofuatilia press ya albino, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda c mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hv mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Ulichoona cha màana ni kukashifu ulemavu wake? Sasa wewe na Karia mna tofauti gani?
 
Kwa wenye akili mbona liko wazi. Tff Wana shida, Huwezi ukawa unabadili kanuni za uendeshaji mpira Kila unavyo jisikia bila Baraza la michezo kuwa na taarifa.
Tff waliweka kanuni ya kupiga marufuku pensi Kwa benchi la ufundi katika klabu, baada ya Zahera kuondoka vipensi ruksa.

Tff wanajisi wao ni wakubwa na awaguswi na kuamua Kujiamlia mambo ki babe.
Alikuwepo Ndolanga pale Tff na yeye alijiona Mungu mtu, ila Serikali ilipoamua atoke, alitoka Tena kupitia uchaguzi mkuu wa Tff.
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kumwita Mr.Manara kwa jinsi ALLAH alivyomuumba,why why umpire Albino?,jamaa wewe inaonyesha una ukatili wa hali ya juu,wakati watanzania wanapambana kuondoa stigma ya ualibino wewe ndio unachochea moto,sijui hata familia yako ikoje ...au ndio unatuletea na kulea family ukiingia tu nyumbani watoto wote wanakimbilia uvunguni mwa vitanda vyao
 
Ungekua na akili usinge husisha ulemavu wake na wewe unaingia kwenye hilo kundi la wajinga
Hata hivyo jamaa kasema "hajawahi kuona mjinga kama huyo" maana huenda alikuwa ameshajiona yeye binafsi kama mjinga nambari wani hivyo inamshangaza kuona kuna mjinga aliye zaidi yake.
 
Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.

Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Hujafa hujaumbika
 
Back
Top Bottom