Mtu mjinga huyu sijapata kuona tangu nizaliwe

Mtu mjinga huyu sijapata kuona tangu nizaliwe

Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.

Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Manara alipokuwa Simba alikuwa hivihivi, Yanga wakawa wanalalamika sana, Simba wakawa wanachekelea tu. Manara alipokwenda Yanga, Simba waliokuwa wanamchekelea sasa wanalia, huku Yanga wakichekelea, ila Manara bado ni yuleyule. Tatizo wote tunaompenda na kumchukia Manara hatuna nia nzuri ya kujenga, tunachagua pande kutokana na ushabiki wetu wa Simba na Yanga. Hakuna mwenye nia nzuri.
 
Sema hujui sheria. Ujinga wako ndio una hamishia kwa wenzio
 
Sawa Manara ana shida yake ila TFF nayo ina shida!
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kumwita Mr.Manara kwa jinsi ALLAH alivyomuumba,why why umpire Albino?,jamaa wewe inaonyesha una ukatili wa hali ya juu,wakati watanzania wanapambana kuondoa stigma ya ualibino wewe ndio unachochea moto,sijui hata familia yako ikoje ...au ndio unatuletea na kulea family ukiingia tu nyumbani watoto wote wanakimbilia uvunguni mwa vitanda vyao
Huyu amewaumiza Wengi Kwa Jinsi Mungu alivyowaumba.

Mfano kumwita MTU 'Kilo MIA Nane' yeye aliona Sawa..!

Sasa Anapoambiwa Yeye 'anafura' anakuja juu...!

Kwa hiyo huyo mwacha avune alichopanda.

Kama MTU ni
-Mfupi wacha aitwe Mfupi ndio Mungu alivyowaumba...
-Mrefu ni mrefu ataitwa hivyo
- Zeru Zeru pia ndio Hivyo Mungu Kamuumba.Aitwe tu..!

Ukiishi Nyumba Ya Vioo epuka ugomvi Wa Mawe..! Utapopolewa Na Mawe uvunjike..
Na akiendelea kufanya press conference Za hivyo ndio atakuwa anaziamsha comments dhidi yake.
 
Ulichoona cha màana ni kukashifu ulemavu wake? Sasa wewe na Karia mna tofauti gani?

Hivi huwa mnaonaga Haji anavyokashifu watu?

Hamuonagi haji anavyowaita watu majina ya ajabu?

Watu kusema albino Tu basi inakuwa nongwa?

Mo anamuita majina mangapi ya ajabu
 
Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.

Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Hujapata kuona tangu uzaliwe kweli wewe ni mjinga
 
Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.

Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Huwezi ona fact kwa kuwa usha chagua upande
 
Vile humpendi vile unamkashfu.

Huko tff wabadili jina huwezi kuwa na rais kama huyo mwonevu anajiona God father alimfunga Jamal Malinzi amefungia wengine kibao.

Sasa amemzibia Manara pumzi, rais gani huyo, heri hata yule rais wa manzese
 
Back
Top Bottom