Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Ualbino wake hapa unaingiaje?Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Ungekua na akili usinge husisha ulemavu wake na wewe unaingia kwenye hilo kundi la wajingaKwa wale mliofuatilia press ya albino, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda c mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hv mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Laiti ungemtaja kwa jina lingine lolote lakini si linalowakilisha ulemavu wake..! Kumbuka hujafa hujaumbika..!Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Yanga wenye akili timamu tangu awali walimkataa huyoKwa wale mliofuatilia press ya albino, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda c mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hv mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Kwa hapa barbra namsifu sanaZigo La Misumari......! Barbra alilistukia mapema Sasa Utopolo wanahangaika nalo Linaenda Kuwasababishia Maandamano.....!
Ulichoona cha màana ni kukashifu ulemavu wake? Sasa wewe na Karia mna tofauti gani?Kwa wale mliofuatilia press ya albino, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda c mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hv mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Huyu jamaa na ualbino wake si aliwahi kumuita Mwakalebela 'mzee wa kilo 800?Ulichoona cha màana ni kukashifu ulemavu wake? Sasa wewe na Karia mna tofauti gani?
Babes ndio NaniZigo La Misumari......! Barbra alilistukia mapema Sasa Utopolo wanahangaika nalo Linaenda Kuwasababishia Maandamano.....!
Akishinda utaropoka hivyohivyoKwa hapa barbra namsifu sana
Maana kila manara akiharibu walimuacha apambane mwenye bila kuihusisha na klabu yetu ya simba
Hata hivyo jamaa kasema "hajawahi kuona mjinga kama huyo" maana huenda alikuwa ameshajiona yeye binafsi kama mjinga nambari wani hivyo inamshangaza kuona kuna mjinga aliye zaidi yake.Ungekua na akili usinge husisha ulemavu wake na wewe unaingia kwenye hilo kundi la wajinga
Hujafa hujaumbikaKwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja.
Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na kuharibu mpira, muda si mrefu hata yanga watamchoka, ni suala la muda tu, hivi mtu mwenye akili unaweza kumtetea mzembe huyu kweli.
Akishinda utaropoka
Kachambe kwanza kwa mujibu wa manaraAkishinda utaropoka hivyohivyo