Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Huu msemo ushakuwa shida mjini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwaga kila nikivimeza lazima nipate vidonda mdomon kuzunguka lipshivi vidonge si vizur kwa mtu mwenye mzio na sulphur
ndugu yangu mmoja alivimba miguu na kuota malengelenge mwili mzima
baada ya kuvimeza
binafsi nikivimeza ninawashwa mwili mzima na kuvimba
kuwen makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Aysee poleSuala la vidonge vyenye Sulfur mlichukulie serious sana, Mwaka 2018 hizo Metakefrin zilitaka kumuuwa mke wangu, ni bahati tu alipona lakini hali ilikuwa mbaya ngozi iliungua yote hadi mdomoni na ingawa hakupata madhara kwenye viuongo vikubwa kama Ini ingawa macho hadi leo yanamsumbua
Hahahah daah mkuu una masihara sanaIla kawa mnyamwez sana kuliko awali