Mtu (mmoja) awe sababu ya watu zaidi ya 60M kuishi kama wakimbizi? Uzalendo uko wapi?

Mtu (mmoja) awe sababu ya watu zaidi ya 60M kuishi kama wakimbizi? Uzalendo uko wapi?

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Hivi ni kweli kabisa?

Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao?

Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?

Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu ya mtu mmoja tu?

Vipi kuhusu basi lililobeba roho zaidi ya 60 kumkwepa mmoja barabarani ili nalo lipoteze roho hizo, inawezekana kweli?

Mbona kama naota?

Hawa watu wachache wakiwajibika watapungukiwa nini?

Hii dunia siyo sawa aisee!
 
Dunian hakuna kuoneana huruma,watu wamepanga kuwa watawala kwa namna yoyote ile
 
Hivi ni kweli kabisa?

Watu zaidi ya ten million wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waishi kifahari?

Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?

Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu ya mtu mmoja tu?

Vipi kuhusu basi lililobeba roho zaidi ya 60 kumkwepa mmoja barabarani ili nalo lipoteze roho hizo, inawezekana kweli?

Mbona kama naota?

Hawa watu wachache wakiwajibika watapungukiwa nini?

Hii dunia siyo sawa aisee!
Ten millions dead? 😳

Hawezi kuondoka hivi hivi. Madeni ya watu. Ukiwa corrupt unaingia kwenye mtego. Ni lazima ulipe fadhila za watu. Mfano mdogo tu: mapikipiki na mabaisikeli ya kugawa kila kata na kitongoji nchi nzima unafikiri yalitoka wapi? Ni mabilioni yale kama siyo trillions. Walioyatoa bila shaka waliahidiwa ardhi, mbuga za wanyama, bandari, migodi n.k. Sasa hawezi kutoka hivi hivi bila kuwatimizia alichowaahidi maana ukila hela za wale jamaa ni sawa na kula hela za drug cartels. Ni lazima utazilipa tu. Wanaweza hata kumteka mtoto pendwa Abdul. Au Wanu! Na hapo bado presha za wanamtandao. Nao wana ajenda zao.

Ndiyo maana yuko tayari kuua na kufia madarakani lakini siyo kujiuzulu. Amekonda. Hana nuru. Amechoka lakini atafanya nini na yuko compromised?

Ambacho inashangaza hata hivyo ni kwamba: Kulikuwa na ulazima gani kununua mapikipiki na mabaisikeli yale pamoja na kufanya uchaguzi wa gharama kubwa kama ule huku akijua kuwa ataiba uchaguzi na kura wala hazitahesabiwa?

Mambo ya ajabu sana!
 
Back
Top Bottom