Hivi ni kweli kabisa?
Watu zaidi ya ten million wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waishi kifahari?
Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja?
Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu ya mtu mmoja tu?
Vipi kuhusu basi lililobeba roho zaidi ya 60 kumkwepa mmoja barabarani ili nalo lipoteze roho hizo, inawezekana kweli?
Mbona kama naota?
Hawa watu wachache wakiwajibika watapungukiwa nini?
Hii dunia siyo sawa aisee!