Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ile disco ilikuwa inaitwa "Mbowe Disco" kabla ya kuitwa "Bilicanas".
Mimi sikwenda Bilicanas hata siku moja, lakini nilikuwa nakwenda sana Mbowe Disco.
Sasa huyu jamaa kanitumia msg kuniuliza kama bado nakumbuka, anasema alikuwa baunsa.
Zamani nilikuwa napenda kwenda Mbowe Disco. Nilikuwa naona Mbowe Disco kama vile ndio Heaven on Earth.
Na vijana wote wa siku zile watakubaliana na mimi. Nilikuwa naishi Ikulu wakati kwa hiyo nilikuwa nakwenda Mbowe Disco halafu baada ya disco narudi,natembes, whatever hour it is. Kwa sababu pale ilikuwa walking distance. Lile disco walikuwa wanafika vijana nadhani mostly wa Kariakoo.
Halafu Freeman nilimuona pale siku moja,alipokuwa katika harakati za kujenga Bilicanas. Nilikuwa na jamaa mmoja aliyekuwa anafahamiana naye, akaniambia,,"Unamuona huyu? Huyu ndiye owner wa hii disco."
Hiyo ndiyo mara ya kwanza nilipomuona Freeman na mara ya mwisho mpaka nilipomuona tena katika jukwaa la Chadema.
Sasa mimi pia nafuatilia huu Uchaguzi kati ya Mbowe na Lissu.
One thing that bothers me ni wale watu wanaosema tutapokea hela za huyu au yule, lakini hatulazimiki kumpigia kura mtu yeyote kwa ajili ya hela alizotupa,au hela alizotugea.
Sawa, lakini ninapotazama Dharma teachings na Karma teachings najiuliza kuhusu uhalali wa kula hela za mtu na kutokulipa fadhila.
Lakini labda there are many factors which people have to consider wanapopiga kura.