Mtu mmoja kanitumia msg Whatsapp jana ananiambia alikuwa baunsa katika disco ya Mbowe

Nyumbani ikulu isee si mchezo kwani kwa kuwa baba yako ni baba wa taifa si wangewapa nyumba mulemule ndani pia ili vizazi vyenu visipotee kwa kutanga tanga maana mzee wenu amewaandikia historia isiyofutika isee mna bahati sana..

Angalau hata mngekuwa mnaishi humo humo tu.
 
Nilikuwa natembea kwa mguu wakati wa kurudi.
Nikifika Ikulu chumba changu room no. 3.
Kwa wale ambao hawajui system ya numbering kule Ikulu; room no. 1 ilikuwa ya mfalme; room no.2 ilikuwa ya Malkia.
Sasa mimi ndio crown prince, nilikuwa nakaa room no. 3.
 
Aiseee!!!
Waione Milembe
 
Nimecheka sana, I wish nipate fursa ya bia mbili tatu na wewe nikitoka hapo ni ku repair mbavu 😀
 
Kaka mkubwa shukurani kwa historia.

Kuchukua na kutoa rushwa yote ni makosa, hata kisheria tu, bila kufika kwenye karma, falsafa na maadili ya kidini.

Tatizo watu wanalazimisha mambo kwa njaa na tamaa tu.
 
Umesensa comment yangu.
Danguro lilikuwa pembeni pale linaendeshwa na TISS.
Pale palikuwa mahali pa drunken sailors.TISS. walikuwa wanafanya monitoring pale.

Kwa hiyo nilikuwa narudi toka Mbowe Disco usiku,walking in the starlight,nawaza ,siku moja mtu akiandika historia ya maisha yangu nadhani ataandika jinsi nilivyokuwa napenda Disco ya Mbowe.
 
Point Iko hapa

" Kula Hela ya mtu na usilipe fadhila"

Dent kula chips za Bure apewazo na boda boda Kisha akatae ombi,

Lema anakosea ktk hili, pia watoa RUSHWA wanakosea,

Big up big brain 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…