The original
Member
- Apr 13, 2020
- 30
- 19
Imani yangu inanikataza kushirikiana na watu au vitu viovu sasa ninapoona watu wakipanda jukwaani kutuhubiria mambo mazuri alafu watu haohao wanatumia watu ambao si wasafi kiroho kuvutia umati ujae ili kuwakiliza napata taabu sana kuwaelewa watu hawa tena utawasikia wakitoa ahadi na viapo mbalimbali...
Ni kwamba hawajui walifanyalo au wanajua kuwa wengi tu mazuzu na hatuelewi? Mtu msafi kiroho hahitaji nguvu kubwa kushawishi watu bali kazi zake zitaonekana tu...
Halahala tusijekuwa km one,one cocoa full of basket..