Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Abee Carrasco putinMama Edina
tumeshampata wa kwanza hapa.Truth is subjective not universal
Anaweza kuandika kwa ufupi akaeleweka bana.Sio kweli mama Edina, kuna watu wana content kubwa sana kichwani akichangia mada fulani basi atajikuta data nyingi zinakuja kichwani so atataka kuziweka zote hili kufanya hoja zake kuvutia na kuleta kitu kipya kwenye mada thus why anajikuta anaandika sentensi au paragraph kubwa zaidi.
Lakini hapa cha kuzingatia hili kujua kama huyu mtu ni timamu au vipi angalia hoja zake je zina mashiko!? Kama zina mashiko bila kurudiarudia content huyo ni timamu hapa kidogo ndio nakubaliana na wewe,lakini kama ulivyosema anarudiarudia content basi ujue sio smart sana kichwani.
Hata hapa jukwaani kuna member utakuta kuna swali dogo tu linalohitaji majibu mafupi lakini utaona jinsi anavyokuja na data nyingi kuchangia hiyo mada na ukiangalia kwa umakini point zake nyingi zina mashiko mtu huyu huwezi kumuita hana akili timamu.
Ndo maana nkamwambia huo ni uono wake ila huwezi kuwa sheriaWe mpikie chai mumeo.. Acha kupangia watu vya kuandika
Hapana... Kwa sababu wengi hua wana tatizo fulani la kisaikolojia ambalo hufanya iwe huvyo. Kutokana na watanzania hatuna uelewa na sakolojia hasa kwa watoto wetu basi hua tunaenda moja kwa moja kua huyu ni chizi. Mimi ni muhanga wa hiki kitu. Nikiandika kitu ha siwezi kufupisha coz hua naona sieleweki so I have to write a lot of words.Anaweza kuandika kwa ufupi akaeleweka bana.
Sio rahisi kwa mtu mwenye content kichwani..let say wewe msanii umeanzisha mada umeuliza "kwanini muziki wa bongo hauendelei?" Kuandika tu maneno manne umaskini na ulimbukeni wa wasanii,support ndogo kutoka kwa serikali n.k haiwezi kuprove kwamba aliyejibu hivyo ana akili timamu maana hana mifano dhahiri na huwa haivutii kabisa kwenye mijadala ya kwenye forum labda tu kwa sms za simuAnaweza kuandika kwa ufupi akaeleweka bana.
Hiki ni aina gani ya kipimo cha utimamu wa akili?JamiiForums habarini.
Niandike kwa kifupi Sana. Katika somasoma yangu. Nimeona na kutafakari maandiko mbalimbali watu tunayoyaandika, MTU unayeandika maneno meeengi, Kwa kawaida unarudiarudia yaleyale.
Ukiwa unauwezo wa kuandika sentence chache ambazo hazimchukui msomaji dakika moja na nusu, yaani sekunde tisini, na akaelewa maneno na dhumuni lako, aka akapata ujumbe uliokisudiwa basi wewe Upo kwenye kundi la wenye akili timamu.
View attachment 2513344
Nakaribisha comment fupi fupi na huu ndio ukweli wenyewe.
Ndo nini sasa? Fasihi zingine bwana.Mbuzi ana mkia mfupi unaoelekea juu na kuacha sehemu yote ya siri ionekane wazi na ng'ombe ana mkia mrefu kuelekea chini angalau unafunika sehemu ndogo ya siri, hii yote ni mikia ila afadhali mkia mrefu wa ng'ombe.
Ystumeshampata wa kwanza hapa.
Mkuu ipo hiviiSio rahisi kwa mtu mwenye content kichwani..let say wewe msanii umeanzisha mada umeuliza "kwanini muziki wa bongo hauendelei?" Kuandika tu maneno manne umaskini na ulimbukeni wa wasanii,support ndogo kutoka kwa serikali n.k haiwezi kuprove kwamba aliyejibu hivyo ana akili timamu maana hana mifano dhahiri na huwa haivutii kabisa kwenye mijadala ya kwenye forum labda tu kwa sms za simu
mfano unasema umaskini na ulimbukeni hapa mtu mwenye content ataanza kutrace back kuanzia enzi za kina Mr nice ilikuwaje,aje aelezee kwa data za kutosha mpaka kwa kina Diamond huyu mtu kama hatarudia maneno atakuwa ameprovide kitu kipya kwa watu wa forum tofaut na yule aliyeishia kuongea kwa ufupi tu..na hii ndio maana ya forum discussion