Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
- Thread starter
-
- #21
Sijawahi kumsikiliza mkenda lkn Kwa kweli nakubali Hawa ni watu wawili tofauti kabisa.Mkuu ipo hivii
Kubali wanadamu wana uwezo tofauti kwa kila mmoja wao.
Mimi nikiandika jambo napenda kukusogeza kwenye uelewa bila kukuchosha na aya ndeefu.
Fuatilia Bungeni ulinganishe majibu ya Mwigulu na ya Prof Mkenda. Utagundua mtoa hoja hapo juu yupo sahihi
Nilifundishwa na prof mmj USA, alisema...Angalia wakati unahutubia...Hapana... Kwa sababu wengi hua wana tatizo fulani la kisaikolojia ambalo hufanya iwe huvyo. Kutokana na watanzania hatuna uelewa na sakolojia hasa kwa watoto wetu basi hua tunaenda moja kwa moja kua huyu ni chizi. Mimi ni muhanga wa hiki kitu. Nikiandika kitu ha siwezi kufupisha coz hua naona sieleweki so I have to write a lot of words.
Kichwani hua nina Mambo mengi yamenyooka ila nikifungua mdomo tu maneno yanatoka machache naanza kukosea hivyo inabidi nirudie tena kusoma kitu... Ndio maana mimi siwezi mfundisha mtu akanielewa au kumuhadithia mtu kitu. Ila nikiandika inakua rahisi japo lazima liwe gazeti la 1000 words.
Tatizo linalosababisha ni Dyslexia. Dyslexia ni tatizo ambapo muhusika mwenye tatizo hili anakua inamuwea vigumu kuandika na kusoma ajili kushindwa kutambua sauti za matamshi, Wernickes’s area ni sehemu inayopaktikana kwenye posterior superior temporal lobe ambayo ipo kwenye ubongo wa mbele. Katika eneo hilo ndio kunahusika na kuchakata matamshi kama yameandikwa au yametamkwa, hivyo basi Dyslexia hushambulia eneo hili linalohuika na kuchakata lugha.
Kwakawaida dalili za huu ugonjwa hua ni ngumu kuugundua kabla ya mtoto kuanza shule lakini kuna baadhi ya viashiria ukiviona kwa mtoto basi vitakuashiria kwamba mwanao pindi akifianza shule anaweza kua na tatizo hili. Zifuatazo ni dalili za ugonjwa huu
Kabla ya kuanza shule
Hivi ni viashiaria amabavyo mwanao anaweza kuvionyesha kabla ya kuanza shule ambavyo vitakuashiria kwamba mwanao akianza shule atakua na dyslexia.
Kuchelewa kuanza kuongea
Kujifunza maneno mapya taratibu
Kushindwa kukumbuka kwamba hii ni namba ngapi au herufi gani, kushindwa kutambua rangi
Kushindwa kuunda maneno kwa usahihi pindi anapotamka au kuchanganya maneno ambayo yanafanana katika matamshi
Nitarudi
wewe kila siku unaandika mchanga hawewe akili zako"""""""" niJamiiForums habarini.
Niandike kwa kifupi Sana. Katika somasoma yangu. Nimeona na kutafakari maandiko mbalimbali watu tunayoyaandika, MTU unayeandika maneno meeengi, Kwa kawaida unarudiarudia yaleyale.
Ukiwa unauwezo wa kuandika sentence chache ambazo hazimchukui msomaji dakika moja na nusu, yaani sekunde tisini, na akaelewa maneno na dhumuni lako, aka akapata ujumbe uliokisudiwa basi wewe Upo kwenye kundi la wenye akili timamu.
View attachment 2513344
Nakaribisha comment fupi fupi na huu ndio ukweli wenyewe.