Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama wandugu
Kwa maneno haya ya mtu mwenye busara alivyonena naomba wahusika wajitathimini na wanyumbulishe akili zao
Kwani haiwezekani awamu iliyopita alikuwa anatema pumba, then this time kabadilika anagawa punje!??? Unashangaza sana wewe unayedhani once good or evil always good or evil. Ninyi ndio wale jamaa mkiwaona ^akina Yuda & Iblis Bin Shetan ^ wameshikilia Misahafu, then mnatema mate, eti ^Kama fulani naye ataiona Pepo, basi hata mimi lazima!^ Hizo brain, kisaikolojia zinaitwa ^closed perception^ au ^fixed-mindset^ (akili boksi).Kipindi cha Magu wanaomwita sasa kuwa ana hekima walikuwa wanamwona hana hekima ni mlevi tu, na wale waliomwona ana hekima sasa wanamwona hana hekima.
Kweli duniani hakuna ubaya wala wema, na perception tu.
Maana yangu ni kwamba, kila jambo lina angle mbili kutokana na anayelipokea. Kuna ambao sasa wanaona anachozungumza ni upupu na kabla alikuwa anazungumza point. Na kuna wanaona sasa anazungumza point hapo awali alikuwa anazungumza upupu.Kwani haiwezekani awamu iliyopita alikuwa anatema pumba, then this time kabadilika anagawa punje!??? Unashangaza sana wewe unayedhani once good or evil always good or evil. Ninyi ndio wale jamaa mkiwaona ^akina Yuda & Iblis Bin Shetan ^ wameshikilia Misahafu, then mnatema mate, eti ^Kama fulani naye ataiona Pepo, basi hata mimi lazima!^ Hizo brain, kisaikolojia zinaitwa ^closed perception^ au ^fixed-mindset^ (akili boksi).
Zama za magu alinufaika zama hizi wasionufaika ndo wapiga kelele.Maana yangu ni kwamba, kila jambo lina angle mbili kutokana na anayelipokea. Kuna ambao sasa wanaona anachozungumza ni upupu na kabla alikuwa anazungumza point. Na kuna wanaona sasa anazungumza point hapo awali alikuwa anazungumza upupu.
Ndiyo maana nikasema duniani hakuna uzuri au ubaya bali ni maoni ya mhusika tu.
Kizuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwangu and verse versa is true
Hiyo ni assumption yako, unless ulete uthibitisho wa hao ^watu^ na maoni yao jinsi yalivyokuwa mwanzo, na mabadiliko yake sasa. Otherwise, uko kwenye kundi la walaghai.Maana yangu ni kwamba, kila jambo lina angle mbili kutokana na anayelipokea. Kuna ambao sasa wanaona anachozungumza ni upupu na kabla alikuwa anazungumza point. Na kuna wanaona sasa anazungumza point hapo awali alikuwa anazungumza upupu.
Ndiyo maana nikasema duniani hakuna uzuri au ubaya bali ni maoni ya mhusika tu.
Kizuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwangu and verse versa is true
Yes ni mtazamo wangu kama ulivyo mtazamo wako juu yangu, ambao na mimi siukubali. Na umesema kundi la walaghai, ina maana lipo lingine ambalo unadai siyo la walaghai. So ni sawa umekubaliana nami kuwa kuna kundi linamkubali na lile linalomkataa.Hiyo ni assumption yako, unless ulete uthibitisho wa hao ^watu^ na maoni yao jinsi yalivyokuwa mwanzo, na mabadiliko yake sasa. Otherwise, uko kwenye kundi la walaghai.
Salama wandugu
Kwa maneno haya ya mtu mwenye busara alivyonena naomba wahusika wajitathimini na wanyumbulishe akili zao