U unstopable man Member Joined Jun 19, 2026 Posts 23 Reaction score 45 Jun 30, 2026 #1 Habari za muda huu wakuu Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
Habari za muda huu wakuu Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Oct 5, 2026 #2 Mkuu uko kwenye system ya ulinzi?