Mtu mwenye elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na elimu

Mtu mwenye elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na elimu

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Elimu ni Ufunguo wa Maisha.

Mtu Mwenye Elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na Elimu.

Ni Ujinga na Ubwege wa kiwango cha PhD pale Msomi anapoamua kuikataa Elimu aliyo nayo na kuamuwa kuwa Chawa, Msomi huyo huwa mjinga zaidi kuliko alivyokuwaga kabla ya kuwa na Elimu.
 
Wapo wengi sana
PhD yupo radhi awe chawa wa la saba
Poor critical thinking and argumentation
 
Unakuta professor na PhD zake sijui master of Nini nini huko halafu wanagombea Jimbo Moja na msukuma anaye jinasibu ni WA la saba Tena aliye feli kuendelea form1.

Kwa mantiki hiyo huyu msukuma lazima amzalau tu msomi huyu maana hajui hata alienda kusomea Nini huko university then aje ahangaike na watu wa la Saba na akushinde!!! Sio aibu ni ujinga na upumbavu wa kiwango sgr!
 
Back
Top Bottom