Joseph Emmanuel masanja
Member
- Dec 15, 2023
- 6
- 5
Umeshindwa kumtunza binti yaoJamani mtu mwenye mke maisha yakiwa magumu ni sahihi kurudi kwao
Anakula mbususu bila kuitunza!Umeshindwa kumtunza binti yao
Komaa
Kama kwenu kuna ahueni rudi wala usione aibu,usiwasikilize walimwengu maana ndio hao hao watakucheka siku nguo yako ikichanika makalioni.Jamani mtu mwenye mke maisha yakiwa magumu ni sahihi kurudi kwao