Mtu mwenye mke maisha yakiwa magumu ni sahihi kurudi kwao?

Mtu mwenye mke maisha yakiwa magumu ni sahihi kurudi kwao?

Unawezaje kuwa na mke na husiwe na angalau hela ya kula? Labda huyo mke ulimkwiba bila kupatana na wazazi wake!
 
Ndiyo rudi na mke wako mkaishi kwao ukalelewe na wazazi wake asubuhi unafunga taulo unatoka nje kifua wazi ili majirani wajue kuna kidume kaingia
 
Kama mlioana wote mkiwa vitoto sawa; ila kama wote ni wakubwa na mmekomaa, mnapambana tu.
 
Back
Top Bottom