Ok 1,2,3 go..!!!
Tuk tuk tuk tuk tuk tuk tuk tuk...!!
Au cjaeleweka?
hilo ni jambo la muhimu umkumbushe na shem Young_MasterNa mie naomba nijikaribishe.
Aisee, lini twende tukafanye hiv test platzoom?
pikipiki
umeshaanza na huku bunduki inalia Taaaaaaaaaaaaa!!au Paaaaaaaaa hebu nisaidieni jamani !Bunduki hyo inafanya kazi yake.
Hapo wote chali,jasho mpaka kwenye meno.
jamani tujitolee kuwasaidia watoto wa mtaani wanateseka sana nani alaumiwe kwa hili?
King'asti sikuoni hapa Angaza au umekimbia?
umeshaanza na huku bunduki inalia Taaaaaaaaaaaaa!!au Paaaaaaaaa hebu nisaidieni jamani !
hiyo simple kitu kinaitika pufuuuuuuuuuuuuuuuu!Nimeanza nini?
Na mlio wa pancha je?
hiyo simple kitu kinaitika pufuuuuuuuuuuuuuuuu!
Wa kulaumiwa nadhani ni sisi wananchi kwa sababu kuu 2.
1. Kutowatimizia watoto mahtaj yao ya msingi na hatimae wao wenyewe hutafuta njia mbadala za kujiingizia kipato.
Na wakishalowea hukataa kurudi home na huishia kuwa Strt-Chldrn.
2. Nadhani ni mateso wayapatayo majumbani mwao kupelekea kukimbia home na kurindima mitaani na at the end huwa like Chokoraa damu.
si maharagwe yanatokota jikoni hayoNa "pwacha pwacha pwacha"
ni mlio wa nini?
si maharagwe yanatokota jikoni hayo
Umekosaaa, nakupa pa kupumzika nenda Tongoli Lodge...