Mtu mwenye PhD ya uchumi analalamikia ugumu wa biashara?

Mtu mwenye PhD ya uchumi analalamikia ugumu wa biashara?

sadic_muyo255

Member
Joined
Sep 14, 2026
Posts
5
Reaction score
2
Hivi ni kwanini watu waliosomea uchumi, tena ngazi za juu, huwa wanatoa milio na malalamiko kuhusu ugumu wa biashara... sometimes wanalialia ktk namna ambayo vilio hivyo walipaswa wakina sisi tusiojua kanuni za uchumi.

Una PHD ya uchumi alafu:
  • Wateja wakipungua kwny biashara yako unawaza watakuwa wachawi au maadui zako binafsi hawapendi kuona unafanikiwa.
  • Mteja flani akinunua kwnye duka lingine jirani - unasema mteja ana roho mbaya, hataki kukuungisha
  • Hautaki mawinga waende China au Dubai wakafuate mzigo... eti wanatamaa, eti wanunue kwako tu.
N.k

Sasa kama wewe umesoma na una-akili kama hizo, sisi tulioishia 7 na iv ???
 
Mkuu wewe ni kiazi mbatata

Shule ina uhusiano gani na biashara?

Biashara ni vitendo na wapo watu wameviweza na wamevipatia

Elimu ni mkusanyiko wa nadharia bila vitendo

SITARUDIA KUKUFUNDISHA
 
Mkuu wewe ni kiazi mbatata

Shule ina uhusiano gani na biashara?

Biashara ni vitendo na wapo watu wameviweza na wamevipatia

Elimu ni mkusanyiko wa nadharia bila vitendo

SITARUDIA KUKUFUNDISHA
Kwani ushirikina na wenyewe unaplay part gan sas kweny mafanikio au anguko...mbon unaogopwa hivyo?
 
Biashara vs PhD ..... kusoma sana sio ujuvi wa biashara
 
Back
Top Bottom