sadic_muyo255
Member
- Sep 14, 2026
- 5
- 2
Kwani ushirikina na wenyewe unaplay part gan sas kweny mafanikio au anguko...mbon unaogopwa hivyo?Mkuu wewe ni kiazi mbatata
Shule ina uhusiano gani na biashara?
Biashara ni vitendo na wapo watu wameviweza na wamevipatia
Elimu ni mkusanyiko wa nadharia bila vitendo
SITARUDIA KUKUFUNDISHA
Biashara inahitaji moyo na uvumilivu sana.......
Hakika.... mkuu......Biashara sio ya kila mtu, kuna mtu nafasi yake ni kuajiriwa na kukaa ofisini, anafosi kuwa mfanyabiashara.