jamaikatz JF-Expert Member Joined Jul 11, 2023 Posts 400 Reaction score 1,429 Aug 13, 2025 #1 Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je??
I imanihope JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 384 Reaction score 98 Aug 13, 2025 #2 jamaikatz said: Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je?? Click to expand... Taaluma haina athari sana,kabila,jamii,umri aina ya kazi labda hayo
jamaikatz said: Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je?? Click to expand... Taaluma haina athari sana,kabila,jamii,umri aina ya kazi labda hayo
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 29,011 Reaction score 79,226 Aug 13, 2025 #3 Mwenye no taaluma
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Aug 13, 2025 #4 Mwenye taaluma ya umbeya na uuaji.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Aug 13, 2025 #5 Mwanasiasa,mwanamuziki,mwanakwaya,nesi,daktari, askari(majeshi yote),sekretari,mtumishi wa ndege,Melissa,TANESCO kwa uchache ni hao.Pamoja na mambo kuwa magumu kiuchumi,kuoa mtumishi asiyejitambua ni JANGA sana.
Mwanasiasa,mwanamuziki,mwanakwaya,nesi,daktari, askari(majeshi yote),sekretari,mtumishi wa ndege,Melissa,TANESCO kwa uchache ni hao.Pamoja na mambo kuwa magumu kiuchumi,kuoa mtumishi asiyejitambua ni JANGA sana.
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,029 Reaction score 2,243 Aug 13, 2025 #6 Duu labda taaluma ya mortuary kama ipo😆
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,622 Reaction score 2,750 Aug 13, 2025 #7 Mimi mwisho form 6, mdada akizidi hapo siwezi kudate nae. Labda niwe sijui kama alienda chuo
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,320 Reaction score 16,768 Aug 13, 2025 #8 Afande
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,205 Reaction score 15,594 Aug 13, 2025 #9 Zamaulid said: Afande Click to expand... Polisi.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,321 Reaction score 109,608 Aug 13, 2025 #10 Unaongela kua nae kimahusiano? Mahusiano ya aina gani labda unazungumzia? Mahusiano ya kimapenzi au mahusiano ya kingono?
Unaongela kua nae kimahusiano? Mahusiano ya aina gani labda unazungumzia? Mahusiano ya kimapenzi au mahusiano ya kingono?
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,321 Reaction score 109,608 Aug 13, 2025 #11 Siwezi kua mahusiano ya Kimapenzi na MUUZA UCHI au Afisa usalama yeyote yule Ila Kwa mahusiano ya kingono, Aiseesibagui taaluma, ilimradi kitobo Nachapa kila idara hadi wafagia mochwari,wachawi hadi waganga wa jadi.
Siwezi kua mahusiano ya Kimapenzi na MUUZA UCHI au Afisa usalama yeyote yule Ila Kwa mahusiano ya kingono, Aiseesibagui taaluma, ilimradi kitobo Nachapa kila idara hadi wafagia mochwari,wachawi hadi waganga wa jadi.
dosho12 JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 4,965 Reaction score 13,552 Aug 13, 2025 #12 DeepPond said: Nachapa kila idara hadi wafagia mochwari,wachawi hadi waganga wa jadi Click to expand... 😂😂 umetisha mkuu
DeepPond said: Nachapa kila idara hadi wafagia mochwari,wachawi hadi waganga wa jadi Click to expand... 😂😂 umetisha mkuu
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Aug 13, 2025 #13 Mimi binafsi siwezi kuwa na jambazi
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 456 Reaction score 1,003 Aug 13, 2025 #14 Mwanamke anaecheza vikoba muda wowote wanawake wenzak wanakuja kukinukisha
verify JF-Expert Member Joined Dec 31, 2024 Posts 1,313 Reaction score 3,164 Aug 13, 2025 #15 waifu material said: Mimi binafsi siwezi kuwa na jambazi Click to expand... waifu material Umeambiwa taaluma 🙄
waifu material said: Mimi binafsi siwezi kuwa na jambazi Click to expand... waifu material Umeambiwa taaluma 🙄
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,721 Reaction score 98,896 Aug 13, 2025 #16 Naweza kuwa na mahusiano na mwenye taaluma yoyote
S.M.P2503 Platinum Member Joined Nov 25, 2008 Posts 3,689 Reaction score 7,145 Aug 13, 2025 #17 Papuchi huwa haina taaluma, inakaribisha Kila Aina ya mazagazaga…
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Aug 14, 2025 #18 Kwani utamu wa papuchi una uhusiano wowote na taaluma ya mtu?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 12, 2025 #20 Ngoja waje kukupa miongozo... Cc: Mahondaw