Mtu mwenye vidonda vya tumbo

Mtu mwenye vidonda vya tumbo

daaa

Member
Joined
May 5, 2017
Posts
18
Reaction score
11
Ni bia gani mtu mwenye vidonda vya tumbe anaweza kunywa
 
Achana na bia , tumia pombe kali kwa kiasi kama unaona ni lazima unywe pombe vinginevyo ni bora ukaacha pombe kabisa. Pombe kali hazina carbon inayoweza kukwangua kidonda tumboni na kukuletea maumivu na kukifanya kiendelee kukua
 
Asantee mkuu kwaio pombe kali ni bora kuliko bia? Na jee wine aina mazara?
 
Wine ina madhara kama ya bia, ni pombe iliyokuwadistilled tu ndiyo rafiki kwa mwenye vidonda vya tumbo

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom