Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

Umojaaaaa

Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
19
Reaction score
33
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu).

Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter

Marejeo :

 
Hao polisi dhalimu wakamatwe waletwe Uzaramoni, tuwaseme mpaka wajiharishie, Kisha wasimange kwa nyimbo na Kigoma Cha Uruguay
 
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter = More than 6 million views on Twitter..!!

George Floyd hakupigwa ila walimkanyaga Koo akakosa hewa akafa.

#YNWA
 
Mitaa yetu waSwahili ya Chàteau Rouge Paris Ufaransa mtu mweusi hawezi pigwa

 
Chàteau Rouge Paris France, mitaa hii ya kwetu waSwahili hapigwi mtu

 
Weusi wa pariiiiii wamepata sababu ya kukiwasha.

Tatizo tunakaa mitaa, maskani na wilaya zilizojitenga kwa weusi. Mitaa ya "posta" mjini kati Paris huwa watuendi, hatuna shughuli au kazi , biashara wala makazi . Tupo kitongoji cha kwa Mtogole Manzese ya Paris.
 
Polisi dhidi ya Raia au dhidi ya MTU mweusi?

Kibongo bongo polisi huwa wanaact vipi?

Polisi amepigwa raia mfaransa mweusi. Kutakuwa na maandamano makubwa ya weusi mjini Paris kwa sababu polisi walipigwa weusi wengi mwaka huu
 
Kylian Mbappe alisema "acheni ubaguzi wa rangi" nchini Ufaransa kwenye Twitter

 
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter = More than 6 million views on Twitter..!!

George Floyd hakupigwa ila walimkanyaga Koo akakosa hewa akafa.

#YNWA

Utazame marejeo ya Twitter 10Milioni views. Ulitazama video tu, lakini utazame Twitter sasa hivi.

Matokeo si kama George Floyd kwa kamilli
 
26 November 2020
Paris , France

Paris police officers suspended over brutal beating of Black man


French Interior Minister Gérald Darmanin on Thursday ordered the suspension of police officers involved in a brutal beating of a music producer in a Paris studio over the weekend. Footage of the incident, showing police officers repeatedly punching the Black man using truncheons, was posted by a news site earlier Thursday sparking widespread condemnation.
Source : France24
 
Polisi dhidi ya Raia au dhidi ya MTU mweusi?

Kibongo bongo polisi huwa wanaact vipi?
Ya Bongo au Africa hawawezi kuyasemea.
Angalia UG tu hapo wanatandikwa risasi hadharani kama hawaoni vile.

Kuna clip kibao Telegram
 
Where is BML movement??,Imekufa au lazima itokee USA ndio iwe BLM??..Au hii habari haiuzi sana CNN
 
Back
Top Bottom