Weusi wa pariiiiii wamepata sababu ya kukiwasha.
Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter = More than 6 million views on Twitter..!!
George Floyd hakupigwa ila walimkanyaga Koo akakosa hewa akafa.
#YNWA
Ya Bongo au Africa hawawezi kuyasemea.Polisi dhidi ya Raia au dhidi ya MTU mweusi?
Kibongo bongo polisi huwa wanaact vipi?