Mtu Mzima Dawa - Maalim Seif Sharif Hamad kuiponya Zanzibar na makovu ya CCM

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Mzarau chake mtumwa na ndivyo walivyo CCM,wamejisahaulisha na kuuficha ukweli wa msemo wa kiswahili ..usemao Mtu mzima dawa..tunawaona CCM katika ubora wao wanashindwa kuelewa hekima za mtu mzima kwa mtizamo wao hata Nyerere hafai ndipo Maria Nyerere alipowatemea mate na kuwapa neno lililowapa uzito CCM,uzito uliowalemea hadi leo.

Kwa mwaka huu CCM hamna chenu Zanzibar na Tanganyika hamna pa kujificha.Na jinsi jamaa alivyovuruga jana ndio kafumua kila kitu.
 
Maalim ni mwarobaini wa matatizo ya Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…