KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Najiuliza sipati jibu kuna Mama mtu mzima yeye anapesa za kutosha nilikutana naye kwa maswala ya biashara natukamaliza biashara lakini kwa sasa simu zimekuwa nyingi mpaka namwambia nipo safari anauliza wapi ukimwambia anakwambia je uwezi kunisubiri maana ninampano wakuja huko nimetuma tiket ya ndege nisubiri unipe company inabidi tena nimwambie nimetumwa kikazi inabidi nirudi mapema nikikusubiri kazini hawatanielewa!!Sasa mimi sijui anhitaji nini!!maana utasikia nina maongezi nawewe nakuomba tukutane mahali mkikutana nihabari nyingine tofauti na maswala yakibiashara!!Au mimoto??:eyeroll1: