Mtu mzima sijui??nini

Mtu mzima sijui??nini

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Najiuliza sipati jibu kuna Mama mtu mzima yeye anapesa za kutosha nilikutana naye kwa maswala ya biashara natukamaliza biashara lakini kwa sasa simu zimekuwa nyingi mpaka namwambia nipo safari anauliza wapi ukimwambia anakwambia je uwezi kunisubiri maana ninampano wakuja huko nimetuma tiket ya ndege nisubiri unipe company inabidi tena nimwambie nimetumwa kikazi inabidi nirudi mapema nikikusubiri kazini hawatanielewa!!Sasa mimi sijui anhitaji nini!!maana utasikia nina maongezi nawewe nakuomba tukutane mahali mkikutana nihabari nyingine tofauti na maswala yakibiashara!!Au mimoto??:eyeroll1:
 
Usiogope,siku moja jaribu kumuuliza kama kuna jambo la muhimu analitaka kwako,labda ni kweli anataka tu kampani yako na si kama ufikiriavyo.
 
tatizo lako ushawaza mengine kama Ambassador anavyoku-advice
 
Sasa si umsikilize kwanza ndo utajua anataka nini? dont be negative mdau. We ni mtu mzima ukimsikiliza ukaona anaongea utumbo utachanganya na za kwako bwana. Au uko weak kiasi kama ukiwekwa mtegoni kidogo tu unanaswa????
 
RED LIGHT THERE...Face it... ask her (wisely, of course) what she wants from you... dodging her won't help!!
 
eeehhh , bro kiiza, vunja ukimya, sema nae kama longolongo mpe kubwa
 
...How OLD are You?? Nauliza maana sioni swali hapo ambalo mtu mzima yeyote asingeweza kulitafutia ufumbuzi na huku JF akaja kwa mambo mazito zaidi! Kuna mdau ameuliza. Kwa nini usimsikilize kwanza ukajua anataka nini?:bored::yawn:
 
Back
Top Bottom