Najiuliza sipati jibu kuna Mama mtu mzima yeye anapesa za kutosha nilikutana naye kwa maswala ya biashara natukamaliza biashara lakini kwa sasa simu zimekuwa nyingi mpaka namwambia nipo safari anauliza wapi ukimwambia anakwambia je uwezi kunisubiri maana ninampano wakuja huko nimetuma tiket ya ndege nisubiri unipe company inabidi tena nimwambie nimetumwa kikazi inabidi nirudi mapema nikikusubiri kazini hawatanielewa!!Sasa mimi sijui anhitaji nini!!maana utasikia nina maongezi nawewe nakuomba tukutane mahali mkikutana nihabari nyingine tofauti na maswala yakibiashara!!Au mimoto??:eyeroll1:
Sasa si umsikilize kwanza ndo utajua anataka nini? dont be negative mdau. We ni mtu mzima ukimsikiliza ukaona anaongea utumbo utachanganya na za kwako bwana. Au uko weak kiasi kama ukiwekwa mtegoni kidogo tu unanaswa????
...How OLD are You?? Nauliza maana sioni swali hapo ambalo mtu mzima yeyote asingeweza kulitafutia ufumbuzi na huku JF akaja kwa mambo mazito zaidi! Kuna mdau ameuliza. Kwa nini usimsikilize kwanza ukajua anataka nini?:bored::yawn: