Mtu na dada yake wafunga ndoa! [PHOTOS]

Mtu na dada yake wafunga ndoa! [PHOTOS]

Sio relative wabongo kwa kurupuka kama nyuki kwenye mzingo
 
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.

Duh uko dunia ya pekee yako sn maana uwezo wako wa kufikiri unakatisha tamaa ukiona mtu kila jambo anakimbilia udini km suluhisho muogope maana ni narrow minded,sorry nakujibu ww though nlitakiwa nimjibu akieleta uzi simply hawa vijana sio kaka na dada kbs uyo binti ni mtoto wa Whitney wa kumzaa na baba ake BB alafu uyo wa kiume ni adopted kid wa Whitney so hakuna blood relation kbs ivo hakuna dhambi wamefanya next time kabla haujavamia uzi tafuta taarifa sahihi alafu uje na shaka yako kuhusu dini nyngne
 
View attachment 131947

Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina Brown has tied the knot with Nick Gordon, it has been claimed.

The daughter of the late singer posted a picture of the pair holding hands, showing off what appeared to be wedding rings, with the caption: "'#HappilyMarried So #Inlove if you didn't get it the first time that is."

She wrote: "I'm tired of hearing people say 'Eww you're engaged to your brother' or 'If Whitney was still alive would we be together' or 'Would she approve of this.' MORE PHOTOS


Hawana undugu hata wa chembe! Nick alichukuliwa kutoka katika kituo cha watoto yatima na kulelewa hadi kufikia kuwa adopted na whitney houston
Sasa undugu wao huko wapi? Kuna watu huko bongo wamezaa na wengine kutembea na mabinamu zao kibao, sembuse hawa wasiokuwa na undugu hata wa kusingizia..

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums
 
Nikimaliza mazoezi nitatoa ushauri.
 

Attachments

  • 1392286815585.jpg
    1392286815585.jpg
    11.9 KB · Views: 306
Shida za haya mambo hata mbele majungu yapo km bongo vile. Waache wale ujana..
 
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.

Kaka nimeona waarabu tena waislamu safi wakiona ndugu mtoto wa kaka anamuo mtoto wa dada,au mtoto wa kaka mkubwa ama,uoa mtoto wa dada mdogo,wapo wengi Tanga,Zanzibat,Dar,Mambas na Pemba ndo usiseme
 
Kaka nimeona waarabu tena waislamu safi wakiona ndugu mtoto wa kaka anamuo mtoto wa dada,au mtoto wa kaka mkubwa ama,uoa mtoto wa dada mdogo,wapo wengi Tanga,Zanzibat,Dar,Mambas na Pemba ndo usiseme

Em' lete picha hapa..!!
 
Back
Top Bottom