Wambie wasalimike..Mkuu Husna Muba pamoja na Valentina wote wanakusalimia kwa mpigo![emoji1][emoji1][emoji1]
Nisisumbue toto lako lipi mkuu?Husna Muba au Valentina??[emoji1][emoji1][emoji1]Wambie wasalimike..
Usimsumbue toto langu ujue..
BAK[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] your devellish thoughtsNilichogundua hapa shida sio kuonana ila watu wana interest nyingine maana naona men wish to meet women and vice versa. Few men wame opt kuonana na Mshana Jr.
[emoji817] [emoji779] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hahahaa!Mmhh haya mi yangu macho hapa Kodooo.
Mbona unanicheka sasa?Hahahaa!
Nakucheka unavyosema yako macho unakodoa.Mbona unanicheka sasa?
Ndio mana naona watu wanafunguka tu hapa.Nakucheka unavyosema yako macho unakodoa.
Hahahaa! Basi usijali mkaka wa DSM wacha tusaidiane wote kukodoa aisee.Ndio mana naona watu wanafunguka tu hapa.
Sasa kila nikitafuta na Mimi pa kufungukia nakuta patupu, itabidi nikodoe tu.
Hilo ndo la maana tu mdada wa mkoani.!Hahahaa! Basi usijali mkaka wa DSM wacha tusaidiane wote kukodoa aisee.
Hahahaa! Kabisa yaaniHilo ndo la maana tu mdada wa mkoani.!
1. Mshana JR.
2.Max Macello.
Ni matamanio yangu Siku moja nikutana na hawa watu na kubadilishana nao Mawili Matatu.
Ww unatamani Ukutanae na Mwa JF Yupi. ?
okey karibu sana
Haya karibu Dar hapa tupate chips mayai, kuku wa kizungu(broila), baga na Juice ya parachichi kwa pembeni.Hahahaa! Kabisa yaani
Itabidi kwanza uwe na harufu ya hela mwili mzma ndo utake kuonana na huyu mis wa kichaga la sivyo usitie pua kabisa.okey karibu sana