miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
naamini atakuwa kajipanga tayari haji kibwege bwegeItabidi kwanza uwe na harufu ya hela mwili mzma ndo utake kuonana na huyu mis wa kichaga la sivyo usitie pua kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naamini atakuwa kajipanga tayari haji kibwege bwegeItabidi kwanza uwe na harufu ya hela mwili mzma ndo utake kuonana na huyu mis wa kichaga la sivyo usitie pua kabisa.
Kabisaaa.naamini atakuwa kajipanga tayari haji kibwege bwege
Hahaa! Usijali aisee. Nawe karibu tupalilieHaya karibu Dar hapa tupate chips mayai, kuku wa kizungu(broila), baga na Juice ya parachichi kwa pembeni.
Angalau kwa leo upumzike kunywa togwa na kipolo cha wali.
Hahahaha.
Hahaha, sawa tena na kimvua hiki kazi kupalilia wala si ngumu kabisa.Hahaa! Usijali aisee. Nawe karibu tupalilie
Hahaa! Utaweza au ndio utataka upalilie huku umefunikwa mwamvuli.Hahaha, sawa tena na kimvua hiki kazi kupalilia wala si ngumu kabisa.
Vipi ni mtama au harage.?
Weee wewe, nikabidhi tu shamba hilo ndo utaona kazi yangu ila usije kimbia wewetu.Hahaa! Utaweza au ndio utataka upalilie huku umefunikwa mwamvuli.
Ni maharage pia kuna kasehemu kana mihogo.
Marhabaa Shunieshikamoo rogie
Walaa hawanijui.hahaha ukiona hivyo ujue wanakujua
1. Mshana JR.
2.Max Macello.
Ni matamanio yangu Siku moja nikutana na hawa watu na kubadilishana nao Mawili Matatu.
Ww unatamani Ukutanae na Mwa JF Yupi. ?
Ahsante usijali ipo cku utaniona tu
Hahahah kwani pana ubayaView attachment 507090Go,,ON.....
THE BOLD1. Mshana JR.
2.Max Macello.
Ni matamanio yangu Siku moja nikutana na hawa watu na kubadilishana nao Mawili Matatu.
Ww unatamani Ukutanae na Mwa JF Yupi. ?