Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Haya karibu Dar hapa tupate chips mayai, kuku wa kizungu(broila), baga na Juice ya parachichi kwa pembeni.
Angalau kwa leo upumzike kunywa togwa na kipolo cha wali.
Hahahaha.
Hahaa! Usijali aisee. Nawe karibu tupalilie
 
Hahaa! Utaweza au ndio utataka upalilie huku umefunikwa mwamvuli.

Ni maharage pia kuna kasehemu kana mihogo.
Weee wewe, nikabidhi tu shamba hilo ndo utaona kazi yangu ila usije kimbia wewetu.

Nataka hilo la maharage ndo linanifaa Mimi!.
 
Mi nataka kukutana na Niffa.siku akija hapa The RockCity Mwanza town please naomba anichek.Niffa popote ulipo ikufikie
 
1. Mshana JR.
2.Max Macello.

Ni matamanio yangu Siku moja nikutana na hawa watu na kubadilishana nao Mawili Matatu.

Ww unatamani Ukutanae na Mwa JF Yupi. ?
1494398343066.jpg
Go,,ON.....
Ahsante usijali ipo cku utaniona tu
 
Back
Top Bottom