binti wa kirombo Huna haja ya kutumia hata nauli yako, wewe nielekeze nitakuja mwenyeweNamatamani kukutana na SUNTER,DABY,mISS NATAFUTA na shunie
Nitafanya hivyo mkuu,bila shaka In Shaa Allah.Mi nataka kukutana na Niffa.siku akija hapa The RockCity Mwanza town please naomba anichek.Niffa popote ulipo ikufikie
Unajitafutia kupigwa panga
Nitakuwa sikupi mapanga kama unataka kuni twanga panga mimi mwenywewe.Unajitafutia kupigwa panga
Ukiwa tayari wewe nielekeze chimbo gani upo ili nikuibukie mshkaji wangu, tena kama itakuwa uswazi ndo patanoga sanaStunter
Jiandae kukutana nao pia motoniWadada wengi humu nishakutana nao ndotoni..
jina halisi unapiga balimi lakini maana nataka tulikutana nijitwike kichwani crate ya balimiInabd nitamani kukutana na mkuu wa kazi daby
⚘[emoji255]⚘[emoji255][emoji120]Namatamani kukutana na SUNTER,DABY,mISS NATAFUTA na shunie
Jamaa yuko vizuri sanaThe bold
usijali mamy tutaonana tuNamatamani kukutana na SUNTER,DABY,mISS NATAFUTA na shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mm jeWalaa hawanijui.
hahahhhh usije ukamfanyia zile sinema zakobinti wa kirombo Huna haja ya kutumia hata nauli yako, wewe nielekeze nitakuja mwenyewe