Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Saint ivuga, BAK, bibi wa jf faiza fox, na jamaa flani anashusha kikatoliki cha haja sijui sergio....napenda uandishi wa hawa jamaa sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
1.kuna jamaa nawakubali sana humu,MWANAKA,DUME SURUALI,MJINGA MIMI,GU DUME,THE BOLD..
2.kuna mtu simuelewi kabisa jinsia yake,SEXLESS
3.kuna wadada nawatamani sana humu,BIBOOOO,PAPRIKA,SHUNIE,JJE'S
4.kuna huyu mwanamke KASIE..
5.
 
Back
Top Bottom