[emoji2] [emoji2] mbona unaona aibu sasa mkuushunie [emoji85]
Duh kumbe umeiona comment yangu[emoji2] [emoji2] mbona unaona aibu sasa mkuu
Ahaaa napenda kufurahi sana nyie watu mnafanya nicheke mwenyewe na kasimu kangu kama mjinga.1. Yule jamaa alipiga mil.19 kwa mda mfupi
2. Arabian Queen
3. Yule jamaa akitabiri mechi inakuwa hivyo
Story inavutia zaidi ukutaja jina eti yule jamaa wa mil 19 mda mfupi,haya bhana nimemkumbuka.1. Yule jamaa alipiga mil.19 kwa mda mfupi
2. Arabian Queen
3. Yule jamaa akitabiri mechi inakuwa hivyo
Max Macello?!, una uhakika?, au unabashiri tu kama mganga wa kienyeji!Ndiye mmliki wa hii jamiiforum
Ninabisha kwamba Max Macello ni mmiliki wa JF.Sasa unabisha nini?
Kwaiyo wewe ndo mmiliki wa jf au?Ninabisha kwamba Max Macello ni mmiliki wa JF.
mimi ni kiwembeSaint ivuga, BAK, bibi wa jf faiza fox, na jamaa flani anashusha kikatoliki cha haja sijui sergio....napenda uandishi wa hawa jamaa sana
aisee kweli vyuma vimekazaaNinabisha kwamba Max Macello ni mmiliki wa JF.
Hapana, sijawahi kusema hivyo.Kwaiyo wewe ndo mmiliki wa jf au?