Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

1.kuna jamaa nawakubali sana humu,MWANAKA,DUME SURUALI,MJINGA MIMI,GU DUME,THE BOLD..
2.kuna mtu simuelewi kabisa jinsia yake,SEXLESS
3.kuna wadada nawatamani sana humu,BIBOOOO,PAPRIKA,SHUNIE,JJE'S
4.kuna huyu mwanamke KASIE..
5.
[emoji7][emoji120] shukrani mkuu ipo siku
 
Nisibishe kwa nini?, kwa sababu mimi sio mmiliki wa JFnikubali tu hata wakisema Shadrack K. Lwila ni mmiliki wa JF?
Acha upunguani wewe kiazi

Unabisha na vitu ambavyo huvijui

Basi mmiliki wa Jf babu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…