Anakuja Yesu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 564
- 485
Sio shida tutaonana sisi kwa sisi kwanza ili tujulikaneWewe na Mimi. Hatujulikani
Sema unataka kumuona bure au utampa na hela za kumuona? Usimchoshe homie wangu bureMzigua anakuonea wivu huyo anakudanganya sister
Anakuonea wivu kuwa utafaidika sana kuonana na toto tundu li beira baby boyAhahha sasa ananionea wivu wa ninii kwamba utanipa mahela au
Mpole kwani huwa anajisifiaHahaaaa unajua mimi ni mtu mpole sana hata sura yangu imekaa kipole mno kwahiyo siwez kabisa kukuanzishia uz my Sister sina tabia hiyo
Aweeèeeeee.. nakupa ofa ya kuniona pm.natamani sana kukutana na wafuatao:Bujibuji,Beira Boy,kaka Mshana Jr,Bi mkubwa Faiza Fox,Shunie,Mzigua90
Ahhahh labda wakunyumbaAu za makaratasi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna adui wa mbali ujue[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sie ndugu ujue.
Hawezi nionea wivuMzigua anakuonea wivu huyo anakudanganya sister
shoga angalia na age za kuwarushia picha !ohoooAweeèeeeee.. nakupa ofa ya kuniona pm.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna adui wa mbali ujue
Ndoho tabu, tujage....Kineshi mwanike tujage nyitundu tukayele
Asante mkuu tuombe uzima I'd yako ya mwanzo ilikua inaitwaje vilenatamani sana kukutana na wafuatao:Bujibuji,Beira Boy,kaka Mshana Jr,Bi mkubwa Faiza Fox,Shunie,Mzigua90
Hahaaaa nitampa kweli tena nyingi mno acha kumuzuiaKama atakupa hela aniambie nimsaidie akuone.
Kiben10 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anakuonea wivu kuwa utafaidika sana kuonana na toto tundu li beira baby boy
Na kweli maana humu watoto wengi kweli. Mie na miaka yangu 37 nikamtumie picha mtoto wa miaka 25 itamsaidia nini sasa.shoga angalia na age za kuwarushia picha !ohooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shoga angalia na age za kuwarushia picha !ohooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbaba ni mtu alie kwenye peak ya ujana. Una kama hatua tano kuelekea utu uzima/uzee.
Hiyo 25 mbona mkubwaNa kweli maana humu watoto wengi kweli. Mie na miaka yangu 37 nikamtumie picha mtoto wa miaka 25 itamsaidia nini sasa.