Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Sema unataka kumuona bure au utampa na hela za kumuona? Usimchoshe homie wangu bure
20180105_211226.jpeg
hapa nipo kwa bed wala sijaenda bank
 
Endelea kujidanganya mzigua si anajua mimi ndo sukar ya warembo wa jf sasa anashangaa kwanini bahat ya kuonana na sukar ya warembo haijamdondokea yeye bali imekuja kwako
Woiiiii sasa nani anataka kuonana na hiyo sukari ya warembo wa jf
 
Back
Top Bottom